Ni kitu gani kinakufanya ujue β€œRestaurant” bei yake sio za kitoto

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea πŸ˜‚

Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari.

Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa jasho??
 
Ukiletewa Maji ya kunawa kwenye Bakuli ya Kupasuka🀣🀣🀣🀣 ruuunnnnn. Kimbia na usigeuke nyuma
 
Ukifika restaurant ukasikia mziki lakini huoni speaker wala DJ jua bill ya hapo siyo rafiki kwako.
 
Ni muhimu kuuliza bei kabla hujaagiza kitu
 
Huko ndani kunanukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…