MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Mimi ni mwalimu ninayesumbuliwa na ugonjwa wa moyo,nafanya kazi mikoani lkn nimepewa referal ya kutibiwa Hospitali ya Taifa,kutokana na ushauri wa daktari kwamba ninapaswa kuwa nahudhuria kila baada ya mwezi mmoja,kutokana na kuanguka pamoja na kupoteza fahamu mara kwa mara nimekuwa nikishindwa kurudi kazini au kuhudhuria kazini,niliomba uhamisho nikaambiwa umesitishwa hali yangu siyo nzr tangu mwaka jana mwezi wa 11 sijarudi kazini,nifanyeje nipate uhamisho? Msaada tafafhali make naiona hatari ya kuachishwa kazi make nashindwa hata kwenda kuhudhuria,uzi huu wenyewe namuelekeza mdogo wangu ndo anaandika!niliandika barua ya kumba uhamisho kusogea karibu na hospitali pamoja na familia nimejibiwa uhamisho kwamba umesitishwa,nisaidieni nawaomba sijui la kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app