Ni kitu gani kinauuzwa sana kwenye jamii yako?

Ni kitu gani kinauuzwa sana kwenye jamii yako?

Ukosefu wa ajira kwa vijana. Hii kwa nchi nzima.

Na pili, bodaboda na bajaji uvunjaji wa sheria za barabarani.

Na mwisho, ongezeko la bei.
 
Back
Top Bottom