sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Binafsi na ukubwa wangu huu, nimeoa na nina familia, naishi vizuri tu na jamii ila kuna katabia ka ajabu sana ninako na ni siri yangu tu hakuna anaejua.
Niingiapo bafuni huwa nageuka kama mtoto, Napenda sana kucheza mziki, ntaruka ruka, nitacheza kiduku, nitacheza bolingo, n.k
Nilikuwa dancer mzuri tu sekondari, basi tangu kile kipindi hii tabia imeniganda