Nimekuwa rafiki mwema kwa rafiki zangu ila malipo ya rafiki zangu ni mabaya na yakusikitisha sana .Mfano Kuna rafiki yangu mmoja niliwahi kusajili line ya simu kwa kutumia kitambulisho chake, baadae aliiba line yangu akaenda kutoa pesa kaa laki 3, hivi.