Ni kitu gani mwanafunzi wa masomo ya "SCIENCE" inabidi afanye kufaulu?

Ni kitu gani mwanafunzi wa masomo ya "SCIENCE" inabidi afanye kufaulu?

Point less

Senior Member
Joined
Jun 24, 2020
Posts
194
Reaction score
98
Naomba njia ambazo mwanafunzi wa masomo kama MATHEMATICS, PHYSICS, BIOLOGY and CHEMIA kwa kutumia lugha yoyote ile.
Unaweza kutoa general au single subject!
 
Naomba njia ambazo mwanafunzi wa masomo kama MATHEMATICS,PHYSICS,BIOLOGYand CHEMIA kwakutumia lugha yoyote ile.
unaweza kutoa general au single subject!
Hayo masomo ni diversity katika kusoma.
Mathamtics in principle zake,
Physics ina principle zake,
Biology ina principle zake,
chemistry ina principle zake,
Geography ina principle zake.
Unaweza piga msuli sana na bado ukafeli kama hujaelewa principle za somo husika.
 
how now will i marster the prinsiples!
 
how now will i marster the prinsiples!
Njia hii itakusaidia
  • Kabla ya kuanza kusoma mada ya somo husika, kagua na maswali mwishoni mwa hiyo mada yaandike kwanza, Tafuta maswali zaidi toka kwenye past paper ya hiyo mada husika yaandike pia.
  • Kisha anza kusoma mada husika huku ukijibu maswali uliyo yaandaa, Notes zako zitakuwa ni maswali na majibu ya hiyo mada husika.
  • Njia hii inafanya vyema kwa somo la Biologia ambapo waweza elewa mada husika kwa kujisomea.
 
Nayashukuru sana macho yangu kwenye mitihani yote
Naingia na vitu vyangu kichwani , nikishindwa piga uwa garagaza lazima niipate majibu kwa mbinu yoyote ile

Anyway ashukuliwe mungu baba wa mbinguni, leo nami naitwa mwanafunzi wa sayansi aliyefaulu vizuri😅😅😅
 
mimi ndo nasoma pcm
Kwanza soma kwa malengo ujue unataka kuchukua course gan chuo,
Hii itakusadia kufocus kwenye masomo husika.
Hesabu inahitaji solving of question kama utatumia pure mathematics, tlanta au chand sijui.
Physics ya advance inahitaji kujua concept na kusoolve maswali kama utatumia chand, Nelkon rogermuncaster sijui.
Chemistry soma concept na solve maswali na hamna complication nying hapa Ngaiza, mkandawile, chand au upendavyo.
Kumbuka malengo yako kama unataka petroleum eng. jua unatakiwa uwe na credit ngap usije sumbuka kwenyen ku-apply vyuo.
NB: Sitegemei utumie college physics, abc au Elias kiombo sijui tomdancan kama unatafta kufaulu course mda wa advance ni mdogo
sana unless umeanza kusoma sasa sio usubiri shule zifunguliwe.
Kwa hesabu sitegemei upitishe siku bila kusolve maswali kadhaa unless ni msabato.
 
Kwanza soma kwa malengo ujue unataka kuchukua course gan chuo,
Hii itakusadia kufocus kwenye masomo husika.
Hesabu inahitaji solving of question kama utatumia pure mathematics, tlanta au chand sijui.
Physics ya advance inahitaji kujua concept na kusoolve maswali kama utatumia chand, Nelkon rogermuncaster sijui.
Chemistry soma concept na solve maswali na hamna complication nying hapa Ngaiza, makandawile, chand au upendavyo.
Kumbuka malengo yako kama unataka petroleum eng. jua unatakiwa uwe na credit ngap usije sumbuka kwenyen ku-apply vyuo.
NB: Sitegemei utumie college physics, abc au Elias kiombo kama unatafta kufaulu course mda wa advance ni mdogo
sana unless umeanza kusoma sasa sio usubiri shule zifunguliwe.
Kwa hesabu sitegemei upitishe siku bila kusolve maswali kadhaa unless ni msabato.
nashukuru mkuu
 
Naomba njia ambazo mwanafunzi wa masomo kama MATHEMATICS, PHYSICS, BIOLOGY and CHEMIA kwa kutumia lugha yoyote ile.
Unaweza kutoa general au single subject!
1. Penda kombi na masomo yako.

2. Epuka bifu na walimu au wanafunzi wenzako.

3. Pata usingizi wa kutosha.

4. Tumia muda wako vizuri acha upuuzi shuleni.

5. Soma sana.

6. Muombe Mungu.

7. Fanya discussion.

8. Always pambana ku cover topics mapema uwezavyo.

9. Baada ya ku cover topics mapema jitolee kufundisha wenzako muda mwingi kadri uwezavyo.

10. Fanya mazoezi.
 
Sikuwahi piga msuli mrefu nikifaulu kwa vitu vichache cha kwanza

Chagua topic zako zinatoka kwenye mtihani zielewe kwelikweli concept zake.

enzi zetu ulikuwa unachagua maswali sijui sahivi kwahyo mtu unachagua topic zako

Halafu solve maswali yake yote
 
asante mkuu
 
Mpaka hapo una dalili ya kucharaza zero kali sana.

Ukifurukuta utapata fo ya 18
 
Back
Top Bottom