Ni kitu gani ukilipwa unaweza kukifanya maisha yako yote?

Ni kitu gani ukilipwa unaweza kukifanya maisha yako yote?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Ikitokea fursa nilipwe kwa ajili ya kufanya kitu kimoja tu maishani mwangu. Ningechagua kusafiri kuona na kujifunza vitu vipya. Kama wazungu wanavyosema we Only live Once

Wewe ungechagua kufanya nini na kwa sababu gani?
 
Back
Top Bottom