Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Binafsi, elimu yote kwa ujumla hakuna ilichonisaidia katika maisha. Mara mia hata ningeishia darasa la saba. Pmbv sana elimu ya Bongo
Nina knowledge kubwa ya Electrostatic, Current na Electronics. Hadi calculations zake nasolve kama mbwa mwitu. Ni miaka sasa imepita lakini siwezi kusahau, hata uniamshe usingizini
Cha kusikitisha, hata kupachika bulb kwenye holder yake siwezi. Kuunganisha kisoma umeme, walau hata kukibondelea kwenye ukuta siwezi. Nazidiwa na kijana wa VETA
Bora hata ningeenda Gereji kipindi hicho kuliko Advance. Pmbv sana elimu ya Bongo
Wapi Logarithim za Sir Msoke Mkatili ?