Ramsy Dalai Lama
Senior Member
- Apr 5, 2021
- 156
- 554
Hivyi inakuwaje niliona Iko trendMkuu unayajua matumizi mapya ya pipi kifua? Tafuta slay queen mmoja mujini akufungulie dunia yako
...Nasikia sasa hivi wamehamia kwenye Cofta na Viks..Hivyi inakuwaje niliona Iko trend
Kwa hii au...Nasikia sasa hivi wamehamia kwenye Cofta na Viks..
Kama una namba ya fundi mmoja wa haya mautundu nipatie kiongozKwa hii au
Katika somo la jana tulifundishwa matumizi mengine ya pipi haswa hizi za kifua, unaambiwa pipi za kifua bibi ni dawa ya mume ya kumpa raha, sasa wewe kujifanya pipi za watoto tu shoga yangu hapa mjini kuna habari mpya shoga ile pipi ni muhimu isikose nyumbani kwako.
Ukiwa mwenye hamu kwamba unataka siku hiyo ukutane na mwenzio shoga nenda kaoge, jitawaze vizuri maana siunaelewa mwanamke unaringa nje ukifunuliwa chini unanuka shombo kaa samaki...hehe heiya ndio siye babu tulivyooumbwa na kujisafisha tunaweza..chezea siye
Wakati unajiandaa, utaoga ujitawaze vizuri sana huko kwa bibi halafu ukishakuwa umejifuta unajiandaa sasa kwenda kitandani ili ukachume tunda chutama vizuri miguu ikiwa umeitanua tia ile pipi yako ya kifua ukeni , kaa muda kidogo muite mzee akupe maraha tena ukimsihi kwa mahaba mpenzi leo huku bwana..basi kijana wa watu huku anakupa maraha huku anapata raha yake ya mdomo kwa ule utamu wa pipi walahi atanyonya mpaka iishe basi wee mpaka amelize utamu wa pipi ushafika kileleni mara ngapi sijui..hehe heiya
Eeenhee aka mwenzangu mapenzi kila mtu aone utamu sio yeye anyonye tu huko, apige chafya ukimletea pumu mtoto wa watu inahusu, raha anyonye kusafi, kunanukia na kutamu.
Kusonga ugaliKatika maisha yetu ya kila siku tunajifunza vitu vipya ambavyo hatukuwa tukijua kabla. Inaweza ikawa umejifunza kutoka kwa mtu, ama mahali, kwenye mtandao (internet), kwenye masomo especially wale wanaosomea kitu flani, au sehemu ulienda ukajifunza kitu kipya, lakini pia hata katika experience yako ya maisha haswa kwa wale waliokula chumvi nyingi(umri mkubwa) ama vyovyote vile. Kimsingi ni kuelimishana tu humu jukwaani na kushare knowledge basi
ni kweli lakini ingekua vyema kama unge share nasi kimoja wapo which is very interestingNi mengi toka kuzaliwa.
Hili la kufa huwa najifunza lakini inaishia kuogopani kweli lakini ingekua vyema kama unge share nasi kimoja wapo which is very interesting
Kumbe...Mungu anamaajabu yake kwenye uumbaji wa viumbeFarasi akishameza chakula awezi kukirudisha mdomoni au kutapika.
Akilazimisha au kupaliwa chakula kitapitia puani na sio mdomoni.
Kwasababu soft palate ( koromeo) yake ni ndefu inaruhusu kupita chakula na sio kurudi.
speaking of kufa! kuna hii ishu ilinishangazaHili la kufa huwa najifunza lakini inaishia kuogopa
Ina maana huyo samaki mwenye sumu hafi?. Hayo ni mambo ya goligota na galilaya yalifanyika hayo ya kufa na kufufuka. Mimi hufanya mazoezi ya kifo kwa bahati mbaya huwa simalizi hata dk 2 uoga huniingia na kuacha mazoezi, namaanisha bado najifunza.speaking of kufa! kuna hii ishu ilinishangaza
Kisayansi, kutokufa kupo! Na kuna viumbe havifi
“Chochote kilicho zaliwa, lazima kife." Hii imegeuka kuwa sio kweli, unajua kwann?.
Jellyfish aitwao Turritopsis nutricula ana uwezo wa kubadilisha seli yake kurudi utotoni baada ya kufikia utu uzima. Hiyo inamaanisha, mara tu ikiwa amezeeka, anaweza kubadilisha mchakato wake wa ukuaji na kurudi kwenye hatua yake ya utoto, na hiyo sio mara moja tu, lakini tena na tena.
View attachment 1991231
Kwa hivyo basi habari njema ni kwamba, unaweza kutokufa. Lakini habari mbaya ni kwamba, itabidi uwe jellyfish ili iwe hivyo.