Mapenzi in ugonjwa was akili na unapona kipindi unatoka kwenye ilo penzi...vile vile chuki na roho mbaya ni kutokana na malize .Katika maisha yetu ya kila siku tunajifunza vitu vipya ambavyo hatukuwa tukijua kabla. Inaweza ikawa umejifunza kutoka kwa mtu, ama mahali, kwenye mtandao (internet), kwenye masomo especially wale wanaosomea kitu flani, au sehemu ulienda ukajifunza kitu kipya, lakini pia hata katika experience yako ya maisha haswa kwa wale waliokula chumvi nyingi(umri mkubwa) ama vyovyote vile. Kimsingi ni kuelimishana tu humu jukwaani na kushare knowledge basi
Ndio kukabiliana na kovid au nini?...Nasikia sasa hivi wamehamia kwenye Cofta na Viks..
Hii chai...Chupa ya chai haiitwi Thermos....bali neno Thermos ni kiwanda cha kutengeneza hizo chupa..ni kama "Shell" na vituo vya mafuta..
Mzee si ugogo upate jibu...ubishi si mzuriHii chai...
Thermo ina maana ya "joto" chupa ya chai inaitwa thermos flask, ungaunga apo utaelewa. Ila sio kiwanda.
Rudia kupitia ulipopata hzo data
Thermo n nnMzee si ugogo upate jibu...ubishi si mzuri
Mzee si ugogo upate jibu...ubishi si mzuri zinaitwa vacuum flask..Hii chai...
Thermo ina maana ya "joto" chupa ya chai inaitwa thermos flask, ungaunga apo utaelewa. Ila sio kiwanda.
Rudia kupitia ulipopata hzo data
Ubishi wa kidwanzi siwezi..kama hujui zinaitwa vacuum flask endelea na ujuachoThermo n nn
Kiwanda n THERMOS LLC..... soma maelezo vzr sio kubisha usichokijua.Ubishi wa kidwanzi siwezi..kama hujui zinaitwa vacuum flask endelea na ujuacho
Kwa sisi waduwanzi tunafaham neno "Thermo" linamaanisha "temperature"Ubishi wa kidwanzi siwezi..kama hujui zinaitwa vacuum flask endelea na ujuacho
Mwambie pia kuna thermometer=kipimajotoHii chai...
Thermo ina maana ya "joto" chupa ya chai inaitwa thermos flask, ungaunga apo utaelewa. Ila sio kiwanda.
Rudia kupitia ulipopata hzo data
Hii wengi hawaijui kabisa. Anakuja kuelewa baada ya msoto mkali. Hata anayesoma Diploma hujiona kama amepotea but wakianza kuingia mtaani ndio anagundua kuwa alifanya kitu sahihi.Kumlazimisha mtoto asome mpaka chuo kikuu..wakati anaweza kuishia kidato cha nne na akapita shortcut na kutoboa maisha...leo hii mwalimu mwenye shahada ya sanaa anaonekana si lolote kwa askari wa jeshi la wananchi tena asiyekuwa hata na diploma......
Hajui tu, anatambulisha level ya uzuzu wakeMwambie pia kuna thermometer=kipimajoto
Kabla hicho kiwanda hakijaanza kutumia neno thermos vacuum flask hazikuitwa thermos. Yes Thermo ni joto ila sio chupa ya chai. Baada ya shindano ndo ikawa hivo hadi leoKwa sisi waduwanzi tunafaham neno "Thermo" linamaanisha "temperature"
Ila kwenu wasomi na wajuaji, Thermo ni kiwanda.