Ni Kitu gani ulitokea ukakipenda/ unakipenda kwenye nyumba za kupanga?

Ni Kitu gani ulitokea ukakipenda/ unakipenda kwenye nyumba za kupanga?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za jumapili wana jf wote yamkini wote tumeamka salama.

Nyumba za kupanga zina karaha yake na sio muda wote tunazichukia, na

Kuna muda tunazipenda pia je? Ni kipindi gani ulitokea kuzipenda yani muda huo!
 
Nyumba za (kupanga) za bei kubwa na sehemu nzuri unakutana na mademu wakali na walionona na wanaojielewa, ukipanga uswazi utakutana na mademu wa uswazi ambao ukitembea na mmoja ndani ya siku mbili taarifa zishafika kwa mkeo
 
Wanawake wanapotoka kuoga wamejifunga khanga moja iliyolowana maji halafu imeshikana na mwili, acha kabisa hata kama umeshajenga unaamua kupangisha ili wewe uendelee kupanga, kingine kizuri kwenye upangaji ni yale maisha ya kijamaa mara kuombana chumvi, sindano za kushonea, mtu anakuja kuomba umuazime sh 100 nk.
 
Kweli mkuu
 
Wale watoto wa wapangaji+mwenyenyumba walivyokuwa wanalilia Chipsi zangu...Ikawa nikinunua nanunua mifuko miwili halafu wa kwao naweka pilipili Kali...hadi wakakoma.
 
Sipendi wapangaji wanoko na ufukunyuku, khaaaah
 
Back
Top Bottom