Kweli mkuuWanawake wanapotoka kuoga wamejifunga khanga moja iliyolowana maji halafu imeshikana na mwili, acha kabisa hata kama umeshajenga unaamua kupangisha ili wewe uendelee kupanga, kingine kizuri kwenye upangaji ni yale maisha ya kijamaa mara kuombana chumvi, sindano za kushonea, mtu anakuja kuomba umuazime sh 100 nk.