eldamaty_persier
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 118
- 285
Utakuwa unatembelea fito! 😀😀😀Kuvaa pensi na kutoka kuzurura Public
Na wengine miguu km ukuni wamo tu🤌😂😂Kuvaa pensi na kutoka kuzurura Public
Au ww ni karibu wa' Kataa Ndoa'🤌😂😂kuwa na mke!
*KatibuAu ww ni karibu wa' Kataa Ndoa'🤌😂😂
Ongeza sauti mkuu wasikieMwanaume Kusherehekea birthday party
Hiyo ni ya Kaa nayo mbali😂🙌Kucheza michezo sijui vikoba
Utakuwa mchaga au mmeru wewe.Kuvaa pensi na kutoka kuzurura Public
Kupenda hizo timu simba na yanga zitolewe mapema, ili kelele ziishe maofisini na vijueni tupate utulivu.Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
Sio fito bana, sehemu ya chini karibu na ankle ukiishika kwa mkono huwezi kukutanisha vidole.Utakuwa unatembelea fito! [emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo dressing code ni hobby tu kwa watu, ila mimi sio hobby yanguNa wengine miguu km ukuni wamo tu🤌[emoji23][emoji23]
Hii kitu daa😣Kupost status nyingi nyingi whatsapp