Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Vingi....

Mojawapo ni zile salamu za kupeana hugs na marafiki
Rafiki zangu naona kwao ni kawaida ku-hug na mtu yoyote lakini mie ni ngumu mno na wananishangaa kama mie navyowashangaa yani wanawezaje?
I jus wish to hug you
 
Nunua protector ya karatasi gumu gumu hivi elf 60 nadhani
 
Kujiremba
Kuwa romantic
Kuishi kwa mashemeji
Kuombaomba hela kwa watu
Kucheza michezo ya hela
Kuvaa nguo zilizochanwachanwa
Kupost status mara kwa mara
Kujirekodi naimba in mashauzi style
Hilo la mwisho hata mie limenishinda kabisa siwezi kujisnap huku naimba sijui naweka maringo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…