Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Kupiga show beach au kwenye swimming pool nlishashindwaga

Kutumia Viagra puturur na vumbi la
banacongo, mambo ya supu ya pweza & energy na Panadol naskiaga tu kwa marafiki

Kwenda church kila jpili nlishashindwa nkisali mara tano kwa mwaka inatosha

Kwenda kuangalia mechi uwanjani, kuhudhuria matamasha ya mziki kama fiesta aiseee kitambo kulishanishinda huko
 
Kupiga picha,simu hii ishavunja Mwaka lakini sikumbuki mara ya mwisho lini kupiga picha kupitia simu yangu ama simu nyengine,Kupost status kitu chochote kile pia na kujikweza.
 
Snapchat
Tiktok
Instagram

Kwangu naona ni vitu visivyo vya kawaida kwangu.
 
Kukopa mtu naonaga jau, mikopo ya riba ndo kabisaa haram sitawahi

Magroup ya whatsapp ya primary sijui secondary, chuo nikionaga tu na left hapo hapo uduwanzi tu kuchorana

Kujifanya mjuaji, napenda kusikiliza zaidi ya kuongea in real life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…