DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
why?I beg to differ
Najipanga mpaka jumamosi nikiwa na reference za kutosha πππJiandae vizuri kujibu hoja nzito with vivid example π€£π€£ kwa sababu neno thibitisha litahusika sana.
Wa ΚΏalaykumu s-salam Ukhty Dawud πππYooo! Samaleko Sheikh Mazziyah π€£π€£
Sasa kama linaburuzika hadi chini kwanini usilikanyage na ukizingatia kushuka ngazi litakuwa karibu kuburuzikaFYI ile dress haikuwa ya kubana. Google sketi ya charanga uione namna iko
Km ulisoma comment vzr, wakati nashuka ngazi, licharanga limesambaa ukijikanyaga tu basi.
Bora ya kubana, kuliko liwe pana
Mbona 'samaleko'π€πYooo! Samaleko Sheikh Mazziyah π€£π€£
Magauni ya hivyo unatakiwa uwe na Mr. akushikie π€πSasa kama linaburuzika hadi chini kwanini usilikanyage na ukizingatia kushuka ngazi litakuwa karibu kuburuzika
Pia hukulikamata na kulivuta juu kama mnavyofanya kwenye madera
Kanywe Pepsi kwa Mangi ntalipa πIko hivi Mtu aisyeomba kitu Chochote anastahili kila kitu.
Utaenda na Mr. Mpaka π―ββοΈ washroom? MfanoMagauni ya hivyo unatakiwa uwe na Mr. akushikie π€π
Ee! Si mwili mmojaππUtaenda na Mr. Mpaka π―ββοΈ washroom? Mfano
βπ½Mwanaume Kusherehekea birthday party
Waongezee sautiπβπ½
Sasa mdugu weunapiha story na ndugu zo tu ./Ila kwanza wewe wakike au1. Kuning'iniza funguo ya gari
2. Kuhudhuria sherehe. Huwa nachangia tu wife anaendaga
3. Kupiga stori na watu nisiowajua
hii enzi zangu gym imekolea huniambii kitu jpo nilkuwa siwez kwenda mbali mtaan tu niliacha baada kuambiwa na mpangajj mwenzangu kaka unatushuhilishaKuvaa vest na kutembea barabarani
Car wash ππππhii enzi zangu gym imekolea huniambii kitu jpo nilkuwa siwez kwenda mbali mtaan tu niliacha baada kuambiwa na mpangajj mwenzangu kaka unatushuhilisha
Sijui wengine huwa wanawezaje aisee.ππ πKuvaa pensi na kutoka kuzurura Public
Huu ni UONGO wa kiwango cha SGRKumuomba mwanaume hela siwezi. Akiamua yeye kwa hiari yake atanipa. ( Comment yangu isiguswe badoπ)
Daah hili siliwezi kabisa,hata mtaani ni traki tu.......ila kutembea na ugoko hapanaKuvaa pensi na kutoka kuzurura Public