Ni kitu gani...?!

Akitaka tigo, kunitukania/kuwadharau wazazi, kunifananisha na hawara zake, kuambiwa anatembea na mfanyakazi mwenzake, kumfumania na HG.; kumtamani binti yake.
 
Inaboa sana....

Kwenye masimango bado hujaambiwa kama sio mimi ungekua hivi au vile?!Ungejua hiki au kile?!Sijui nini na nini....
 
kutikuwa na shukrani = tenda wema uende zako
 
Akitaka tigo, kunitukania/kuwadharau wazazi, kunifananisha na hawara zake, kuambiwa anatembea na mfanyakazi mwenzake, kumfumania na HG.; kumtamani binti yake.

1. Kumbe ana mahawara na unajua na unaona poa tu!
2. Kumbe akitembea na wengine nje ya hyo orodha ruksa!! e.g Wafanyakazi wenzako, Bar maids, Wadogo zako..........Lol!
 
A man/woman from another planet!!!!!! kwa maana hivyo saba very likely mtu kua na kimoja.
 
Sijui nikuelezeje rafiki yangu,mapenzi ni kitu cha ajabu sana na mwanzo mara nyingi huwa ni mtamu hata uambiwe mwenzako kikojozi,mwizi,mbinafsi nayote uliyorothesha unaweza ukakataa sasa mambo hugeuka siku baada ya siku huwa sielewi ni nini?.......inaweza kuwa kuchokana,kuzoeana sana na kuona hakuna jipya au mapenzi kupungua/kwisha hapo ndo huwa tunaanza kuhesabiana kila kosa tunalofanya siamini ale tunayoona kwa wapenzi wetu leo yameanza sasa mengi ni tabia wlizokuwa nazo toka tunakutana
.
pungufu yapo na hatuna budi kuvumiliana ila mtu unapopoteza nguvu na muda mwingi kwenye "kuvumilia" badala ya kumfurahia mwenzako pamoja na mahusiano yenu inabidi kuwe na mabadiliko....na ikishindikana inabidi muangalie tena kama hiyo couple yenu ni sahihi au la.Mapenzi sio mateso...yanatakiwa kufurahiwa![/QUOTE]
 
Sijui nikuelezeje rafiki yangu,mapenzi ni kitu cha ajabu sana na mwanzo mara nyingi huwa ni mtamu hata uambiwe mwenzako kikojozi,mwizi,mbinafsi nayote uliyorothesha unaweza ukakataa sasa mambo hugeuka siku baada ya siku huwa sielewi ni nini?.......inaweza kuwa kuchokana,kuzoeana sana na kuona hakuna jipya au mapenzi kupungua/kwisha hapo ndo huwa tunaanza kuhesabiana kila kosa tunalofanya siamini ale tunayoona kwa wapenzi wetu leo yameanza sasa mengi ni tabia wlizokuwa nazo toka tunakutana
.
pungufu yapo na hatuna budi kuvumiliana ila mtu unapopoteza nguvu na muda mwingi kwenye “kuvumilia“ badala ya kumfurahia mwenzako pamoja na mahusiano yenu inabidi kuwe na mabadiliko....na ikishindikana inabidi muangalie tena kama hiyo couple yenu ni sahihi au la.Mapenzi sio mateso...yanatakiwa kufurahiwa![/QUOTE]
 
Lizzy,<br />
<br />
<b>Ma-Bachela</b> na <b>Ma-Single</b> huwa mnanifurahisha sana! Mambo yenu ni ya kusadikika tu!
<br />
<br />
We mchokozi sana.
Mama enoki hajawai kukusulubu kwa makofi?
Najua huwezi sema mana ni aibu afu inauma.
 
mwe
peleka fujo huko..
ntakuwa nimesha staafu kwenye haya mambo
na nitakuwa na majibu ya maana ...

Basi nitakununulia bazoka usinisemee
alafu ukiona tu lizzy na mahusiano usifungue mtt!

b4 hata lizzy alikua afungui!!!!!!!!
 
LOVE Equation
Love > matatizo yote ya mwenza wako = Uvumilivu
Love < matatizo yote ya mwenza wako = Kuachana

Explanation
If love is greater kuliko matatizo yote basi watu wanavumilia
If love ni ndogo hata yale matatizo ya kawaida ya mwanzo yatapelekea kuachana (yaani ule mwanya wake utaanza kuuona kama pengo au beauty spot itaonekama kama mole)

Source: Mimi mwenyewe
 
Gubu huwa lina kera, yaani malaamiko tu, yasiyo na maana, kila kitu yeye analalamika tu,mwingine hata akikuta umehamisha after shave yake atalalamika mpaka anaondoka, kwa kweli mimi hili huwa linanikera, ila ndio hivo tena kama kawaida yangu, huwa ni mwanamke mwenye uvumilivu,nina imani kwenye mahusiano ni kuchukuliana tu, najua hata mie kuna vitu ananivumilia pia, kwani kila binadamu kaumbwa na mapungufu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…