Ni kitu gani...?!

<br />
<br />

Ndio maana nikasema inategemea mtu na mtu mae....wengine mara moja anasepa, wengine tango waingie yanayavumilia hayo.

Umegusia suala la tabia ya mtu....wengi huwa tunang'ang'ana kubadili tabia za wenzi wetu ziwe tupendavyo sisi (utadhani sisi ni malaika) lakini je hata kama mwenzio anafanya vitu vinakuumiza unyamaze tu kwa vile ni tabia yake? Uumie ndani kwa ndani mpaka muda wa kupangua ufike?
 
Hekima inapokosekana kwa wapendanao,huwa ndo mwanzo wa mavurugano na maachano,Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake na kuiboresha,bali mpumbavu ataibomoa kwa mikono yake.Mume mwenye busara humpenda mkewe naye humwona kama lulu,ambayo kimsingi hawezi mlinganisha na mwanamke yeyote sababu amewazidi!!!!!Mkiyashika hayo mtaishi kwa amani
 
uko sahihi lakini haya mambo yanazungumzika hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Akitaka tigo, kunitukania/kuwadharau wazazi, kunifananisha na hawara zake, kuambiwa anatembea na mfanyakazi mwenzake, kumfumania na HG.; kumtamani binti yake.

Mmmmmh!!
 

my dearest, unaweza kuongea na mtu mzima kuhusu tabia yake but acweze kubadilika mpaka atakapojickia kubadilika yeye mwenyewe, unafanya jitihada zote bila mafanikio, ikifikia hapo maamuzi ni yako sasa, uridhike na hiyo tabia aliyonayo muendelee na lyf au ujipangue, kuna tabia za nyingine ni ngumu sana kumbadilisha mtu, mfano mwanaume acyeridhika na mwanamke mmoja, huyu kila kukicha ana hawara mpya ipo kwenye damu ni kwamba akiona skirt imepita lazima ajue kilichopo ndani, sasa kumbadili mtu kama huyu ni ngumu sana sana hapo ndio pa kuamua kujipangua au laa, kuna nyingine unaweza mbadilisha, eg chapombe, huyu unaweza kwenda nae mdogo mdogo au ukatamani hapa apate kisukari ashauriwe na doc aache pombe, hapo kuna ka hauweni...lol.....ngumu kumeza but mcfikirie kwamba ni rahic kama mnavyofikiria,yaani Lizzy kanifanya nimuone kama ameumba wake so anam control anavyotaka yeye....haiwezekaniki....kama klorokwini alivyosema hivyo vijimambo hapo juu ndio mahusiano yenyewe sasa ucpokumbana na hili utakumbana na lile.
 
Usemayo hapo yote yanawezekana ikiwa haupo ktk mahusiano ila kama upo ndani yake hizo hapo sio sababu kabisa. lizz mapenz yasikie hivyohivyo nimabaya kupita maelezo m2 hukubalikuwa fukara kwajili ya mapenz. ivi nikipi chenye thaman kama uhai lkn m2 hufikia ha2a anajinyonga unafikiri ni mjingaeeeee ni mapenz yote hayo. Omba mungu usipate bahati ya kupenda.
 

Laazizi heri ya mwaka mpya! 🙂 Hatujaonana tangu mwakajana! Tehetehetehe!
 

Mdogo wangu B,

Haya mambo mara nyingi yanakuja kwa slow but killing or sedating doses...Unachukulia kuwa si mbaya sana na unapokuja kustuka inakuwa too late.

La muhimu ni kumwomba Mungu akupe nguvu ya ama kuyakabili au kufanya maamuzi magumu. Ila mengi sana yanatukuta kwenye hizi ndoa!
 
Nyamayao, we acha tu..... kila mtu na zigo lake, hayakwepeki hata, kuna sista angu alimwacha mumewe kwa ajili ya mineno , akaolewa na mpigaji sana, akamwacha sasa hivi yuko na mwanaume ni kiwembe hapo ndio katulia tuliiii haambiwi kitu, kila mtu na maisha yake
 

...na wengine wana sifa zote hizo tatu. Kwenye mambo haya hakuna kosa kubwa au dogo,...ni vile mwenyewe unajipimia 'kwa kidole' maji yana umoto kiasi gani kabla ya kutia mguu!
 
offu topik: Halaf Lizzy wenyewe ana gubu vile vile, samtaimu kama haujaquote post yake PM zako hajibu.
msg sent!

ok turudini kwenye mada
 

Kweli Gaga...hii dunia ni ina vichaa tena wabaya sana. Yaani kila mtu an vices zake. Laiti kama mtu angeweza kujioa mwenyewe ili aepuke kero!

Jambo la msingi ni kukubali kwamba kitendo cha kuwa na mtu mwingine hata kama mnapendana tayari kimeleta kiwingu...Wenye bahati ni wale ambao viwingu vyao si vizito saaaana!! Ila kuna wengine kwao kila siku ni mvua nzito nzito na radi za kutisha!
 
Laazizi heri ya mwaka mpya! 🙂 Hatujaonana tangu mwakajana! Tehetehetehe!
na kwak

o pia Laaziz....nilijua umenimwaga/umeshanitenda jamani....c unaona mapenzi yenyewe ya cku hizi, hofu tele kwa moyo...hahahahaha
 

Gaga,

Hapo kwenye bluu: Hebu turudi shule kidogo enzi zile za maswali ya ''matipo choisi''. Katulia tuli kwa huyo mwanaume kiwembe kwa sababu mojawapo kati ya zifuatazo;
A. Kachoka kutanga tanga na kagundua kila mtu ana mapungufu yake, bora kutulia tu.
B. Wamezaa mtoto na kabla ya hapo pengine hakuwa naye.
C. Mwanaume huyo anamfikisha kileleni, na labda ndio maana ni kiwembe kwa kuwa ni fundi kwenye mchezo huo.
D. Yote hapo juu ni sawa.
E. None of the above is correct.

Chagua jibu sahihi.
 

...kama 'uteja' vile....ukiacha unapoteza raha-raha na mahanjam yake!
 
na kwako pia Laaziz....nilijua umenimwaga/umeshanitenda jamani....c unaona mapenzi yenyewe ya cku hizi, hofu tele kwa moyo...hahahahaha

Hapana laazizi siwezi kukutenda! Hao wengine wanaigiza tu, mapenzi tunayajua mimi na wewe tu hapa duniani! Itabidi tufungue ''twisheni'' ya mapenzi, huwezi kujua, twaweza kutengeneza pesa atiii!!
 
...na wengine wana sifa zote hizo tatu. Kwenye mambo haya hakuna kosa kubwa au dogo,...ni vile mwenyewe unajipimia 'kwa kidole' maji yana umoto kiasi gani kabla ya kutia mguu!
Mie nimeridhika nahisi, kwa sasa vipimo tena naona nishapitwa, nishakula nyundo zangu theluthi ya karne mengine namwachia Mungu, naomba tu anipe maisha marefu na afya njema, nione wanangu wanakuwa, wanagraduate, wanaoa olewa,im ready to sacrifice my happiness for them to be happy.......Mbu unafikiri, wakati mwingine tunakubali yaishe
 

huyu nae hajakata tamaa ya kuolewa, hiyo ya pili ilitakiwa iwe fundisho kwake atulie alee watoto sasa.....kweli mapenzi upofu, kadondokea pua haswa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…