Ni kitu gani...?!

Kaka mkubwa kama mengi yanawakuta na bado mpo basi kunavumilika.....yepi ya kuvumilia? Tunarudi pale pale kuwa inategemea mtu na mtu....

hatuko wakamilifu hilo ni wazi, sasa sijui yepi na na nani atavumilia (hilo linabaki kuwa la binafsi)

unalalamikia kupigwa? wenzako wanamwagiwa maji ya moto na sku ya pili wanaomba razi wao!

Halaf hizo nyengine ulizotaja zote ndio mahusiano yenyewe, sasa kama huwezi hizo nakushauri uokoke tu Miss Unga Ltd

Niokoke mara ngapi Kloro....?!

mie nimevumilia cheating, na vijimambo vya kucmangiwa kwa kiac napotezea etc..... kama wewe unadhani utavumilia yapi? tushirikishe hapa.

Nimekupata dearest....

mie nimevumilia cheating, na vijimambo vya kucmangiwa kwa kiac napotezea etc..... kama wewe unadhani utavumilia yapi? tushirikishe hapa.

Nyamayao, wanasemaga kua uyaone! Nakumbuka viposti vyangu enzi zile humu humu JF....
Huu moyo umekuwa mgumu bila kutaka, lakini mpaka hapo kuchitiwa hapana mpenzi labda unipe siri ya mafanikio....
Nahisi hilo laweza 'kuutoa' uhai wangu

So far navumilia mengi na navumiliwa kwa mengi. Lakini naamini tunajitahidi pamoja

b mwana wa h mjukuu wa t,
hapo red ndipo panapobalance equation! ukiona unamvumilia basi ujue na yeye anakuvumilia pia, hakuna perfecto bana katika hii dunia, Dr slaa wenyewe ana makasoro kibao itakuwa sisi bana?

offu topik: Halaf Lizzy wenyewe ana gubu vile vile, samtaimu kama haujaquote post yake PM zako hajibu.

msg sent!

ok turudini kwenye mada

Ni kosa la jinai kuanika mambo ya PM jamvini...ngoja nimwite P...W!!

b mwana wa h mjukuu wa t,

hapo red ndipo panapobalance equation! ukiona unamvumilia basi ujue na yeye anakuvumilia pia, hakuna perfecto bana katika hii dunia, Dr slaa wenyewe ana makasoro kibao itakuwa sisi bana?

Khaaa usiniambia Slaa ni kiwango cha kujipimia.....haya bana!

Klorokwini ndugu yangu.....si tunasomaga upendo huvumilia? Hauhesabu mabaya?

nikuombe tu ucjipe imani sana kwenye moyo wa mwenzio, we kaa 50-50......(usiusemee moyo wa mwenzio)...lolote laweza kutokea.....hata mie nilidhanigi" hataweza"...kwamapenzi tuliyokuwa nayo, kilitokea kmfarakano kdgo kila kitu kikawezekana....na cjui cri ya mafanikio mpaka nikamsamehe but nimekuta tu nimesamehe....nadhani linapotokea ndio unajua jinc ya kukabiliana nalo...kwasasa relax mae!

mimi naweza kuvumilia mwanamke mvivu,mwenye kupenda umbea,anaejiachia na kunenepanepa,mwenye kununa bila sababu,lol

Mkuu mimi napenda sana mwanamke mwenye vijimaneno vya ajabu ajabu hivi, infakti vinaniturn on kabisa, mimi waifu akinambia "utajijuuu" basi naomba gemu mida hiyo hiyo. sjui niko normal???

Kuna kale ka kiapo utamvumilia ,utampenda ,utamtunza sijui na nini tena
Lizzy usinisahau kwa kadi siku utakapotangaza nia maana naona unaelekea ukingoni mwa research yako

Zaidi ni kuomba mungu akupe mme /mke mwema maana hivi vyote hutoka kwake.

Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…