Ni kitu/kifaa gani kitanisaidia kuepuka madhara ya Moto katika Kifua changu..?

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,590
Reaction score
3,632
Habari za mchana wana JF wenzangu, poleni na Majukumu ya kila leo.

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.

Mimi ni mjasilia mali, ambaye ili kuyatimiza majukumu yangu (Kuchoma Chapati, pamoja na Biashara ya Chipsi) najikuta napata maumivu mara kwa mara katika Kifua changu, kwa sababu ya kucheza/kushinda katika Jiko/Moto kwa muda mtefu...!

Naomba kujua, ni mbinu gani nitumie au kifaa gani ili niweze kuepuka (kama sio kuiondoa kabisa) mazingira haya, ambayo kwangu naona ni janga kubwa kwa Afya yangu baadae..

Nategemea ushauri kutoka kwenu wana JF hasa wajasilia mali wenzangu..
 
Kunywa kikombe kimoja cha maziwa na asali kila siku jion baaada ya kaz
 
Kunywa kikombe kimoja cha maziwa na asali kila siku jion baaada ya kaz
Nashukuru kwa ushauri wako Mkuu, dalili njema imeonekana kidogo, Maumimivu nimeyapunguza kidogo...!
 
Vaa uniform za jikoni,yaani koti zito kifuani na apron
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…