makaj
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 318
- 374
Ilikuwa kipindi nipo form six pale mbeya, ivumwe high school inasifika Sana Kwa viboko Ile shule, viboko Mia kawaida. Sasa kipindi hicho form five ndio walikuwa wagen wagen 2017, mara wakaweka debate Kati ya form five hkl &hgk wanashindana Na hgl, ikabidi waje kutafuta mtu wa kuwa chairperson bwana. Na Kwa sababu pale school kweny speech ilikuwa rahisi kunikuta basi moja Kwa moja wakaniomba.....! Na Mimi tayari najua form five wapya basi sikusita Ile ngoja nishow off, alaf kuamkia siku hiyo nilienda kushave ko nikawa Kama nimenyoa afro fulan IV, af nywele ndefu ndefu kidogo.. Ebwan ehh nikahost pale, kumbe ticha wa nidham kaninote Ile nimefunga debate tu kumbe jamaa kaanza kunisaka....mara pa nikaitwa Kwa ofisi ya nidham, jamaa akanihoji pale Na Kwa sababu alikuwa ananitafuta siku nyingi..akanilamba stick, akanyoa nywele Na mkasi, akanikatia trouser ya shule mguu mmoja, akapokonya kiatu kimoja du!!! Muda huo huo ni mapumziko mchana iv ...!! Alaf nikaruhusiwa kuondoka, sasa kutoka ilipo ofisi mpaka classes za six ni lazima upite kuanzia class za form one , two, three, five....ile natoka tu madogo kibao ile ooooh full kushangaa, wanaulizana kuna nini? Wanajibizana yule kaka aliyekuwa chairperson kunyolewa ...!!! Aisee hii siku niliabika sana walai mpaka leo nikiendaga pale school simsalimiagi yule ticha!!!
Basi kwa muktadha huo, unawez share ya kwako!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kwa muktadha huo, unawez share ya kwako!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app