Mkuu Bhangi ni bhangi tu tuache kujifariji eti kuna bhangi za South sijui scanker.. The way unaitetea bhangi ndiyo inakuzoea....Bangi haina vituko
Bangi za jero za mtaani mapusha wengi wanachanganya unga, sumu ya panya, dawa za vikohozi, n.k.
Hivyo ukiona ulifanya vituko siku ya kwanza jua ni wazi uliingizwa cha kike.
Hayo mambo ya vituko utayakuta kwenye bange za jero tu, kwenye bangi za elf 10 stiki 3 huji kusikia hizo mambo.... STAREHE GHARAMA
Bangi nyingi za jero za hapa Tanzania mapusha wanachanganya sumu za panya na unga,Mkuu Bhangi ni bhangi tu tuache kujifariji eti kuna bhangi za South sijui scanker.. The way unaitetea bhangi ndiyo inakuzoea....
Ama kweli, Kwenye Maisha Hakuna Hali ya kudumu. "No condition is permanent".
Kipindi naanza kuwa kijana nilipitia kuvuta bhangi, almost 34 years ago. Basi siku hiyo nilivuta bhangi magethoni kwa masela. Wakati narudi home nikahisi njaa Kali ndiyo nikanunua mandazi ya buku hivi nikanywee chai home.
Basi ile nafika home maji hakuna hata tone yaani hata kikombe. (Kulikuwa na adha ya maji ni zaidi ya mgao)Basi kwa akili yangu ya bhangi nikajikuta nimejisachi mfukoni nikakuta kuna lizzle( Karatasi maalumu kwa kusokotea bhangi).
Wazo la kibaghi bhangi likanijia kwa Nini nisisokote majani ya chai kwenye Lizzle halafu niwashe kete huku natafuna na mandazi..
Basi kweli nikasokota majani ya chai kwenye lizzle nikawasha nikaanza kuvuta huku natafuna maandazi. Ebwana eehh yale mandazi yaliisha yote..
Vituko vilikuwa vingi sana kuna siku nilimfokea boss wangu kwanini anachelewa kazini,.... Mwisho nilikata shauri nikaachana nayo. Karibu utupe mkasa wako.
Hilo bush mapushà wengi wanachanganya sumu za panya, unga na dawa za kikohozi..... Nadhani walijifunza kwa wahindi wa indiaSkanka ni nzuri sana sie tunaichukulia hapo Arusha alafu hyo wanavuta matajiri .
Bush mhhh linanuka mtaa mzima hyo inaumisha kichwa acha kabisa na wengi wakivuta hiyo ikawakataa hua wanaangukia milembe na siwani
Mhhh nikiwa sina mpunga bush nainunua alafu naichambua kama karanga hapo ntatoa stick moja tuHilo bush mapushà wengi wanachanganya sumu za panya, unga na dawa za kikohozi..... Nadhani walijifunza kwa wahindi wa india
Hilo bush mapushà wengi wanachanganya sumu za panya, unga na dawa za kikohozi..... Nadhani walijifunza kwa wahindi wa india
unaweza kunielewesha hizo Skanka, na Bush ni nini? Au ni aina za bangi na zinatofauti gani na ganja au msubaSkanka ni nzuri sana sie tunaichukulia hapo Arusha alafu hyo wanavuta matajiri .
Bush mhhh linanuka mtaa mzima hyo inaumisha kichwa acha kabisa na wengi wakivuta hiyo ikawakataa hua wanaangukia milembe na siwani
Mkuu Mandazi yana pishana Bei, Siyo hayo unayonunua Wewe Buza kwa mpalange.. Mandazi niliyomanisha enzi hizo ni doghunts zikiwa packed... Wajuaji hamkosekani..We achaga uongo miaka 34 nyuma utumie buku kununua maandazi wakat kipind icho andaz moja unapata kwa shilingi moja ina maana ulinunua maandazi buku ukitunga story za uongo uwe na kumbukumbu