Ni kituo gani cha daladala ukipandia gari hasa siku za kazi huwezi kupata siti kuanzia saa 10 jioni

Ni kituo gani cha daladala ukipandia gari hasa siku za kazi huwezi kupata siti kuanzia saa 10 jioni

kona ya bwiru kwenda town

Watu wa dar mkianzisha uzi huwa mnadhani kila aliyepo JF anaishi dar
Bora kona ya bwiru jamani maduka tisa asubui kutapa seat ni nadra sana..... Na jion pale stand ya posta
 
1. Mwenge tegeta hadi bunju.

2. Mwenge kwenda tabata segerea.

3. Mwenge kwenda goba hadi mbezi.

HAPO NIMEZUNGUMZIA MWENGE MAANA NI KITUO KIPO NJIANI NA NI CENTRE. Kariakoo, kivukoni, morocco, makumbusho, ubungo, tabata, na kimara gari za huko jioni lazima zipite mwenge.
 
Huo muda huwa natamani yale mabasi makubwa ya kwenda mikoani yaletwe kusaidia kubeba abiria. Unasimama kituoni wee na daladala ikija imejaa basi utasimama mpaka utakaposhukia
Bora kona ya bwiru jamani maduka tisa asubui kutapa seat ni nadra sana..... Na jion pale stand ya posta
 
Msalato to Sabasaba
Sabasaba to name
Sabasaba to mnadani or nala
 
Huo muda huwa natamani yale mabasi makubwa ya kwenda mikoani yaletwe kusaidia kubeba abiria. Unasimama kituoni wee na daladala ikija imejaa basi utasimama mpaka utakaposhukia
Unasimama weeeh ukifika ofisini umechoka mno
 
Back
Top Bottom