Ni kodi zipi zinapaswa kulipwa na Limited Liability Companies?

Ni kodi zipi zinapaswa kulipwa na Limited Liability Companies?

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
707
Waungwana,

Jambo ambalo linasikitisha, kwa nchi ambayo inadai inakusanya kodi, ni kwamba elimu kwa walipakodi ni finyu kiasi kwamba, pale unapotaka kuanzisha biashara mpya, hupati habari za kweli na za uhakika kuhusu kodi ambazo - kama mfanyabiashara - unapaswa kuzilipa.

Tafadhalini, waungwana, naomba mnieleweshe, kwa kampuni ambayo ni Limited Liability (LTD), ni kodi zipi inapaswa kulipwa, kwa viwango gani, na kwa wakati gani?

Asanteni.

./Mwana wa Haki

P.S. Mwenye taarifa tafadhali anitumie PM
 
Back
Top Bottom