commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,956
Hawa wapuuuuuuzi kweli hawajitambui hawajui kinaxhoendelea duniani wanang'ang'ania kuwa mwisho wa yote maamuzi yatatolewa na serikali na sio wananch.i ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. acha wapige makelele sisi tunajua tutakacho kifanya.Leo kumekucha na mpango mahsusi tunaona serikali imeamkia rasmi na mpango mahsusi wa kuutetea muswad uliokataliwa na wananchi wa katiba mpya.
*Tatizo nilionalo ni pale mwanasheria mkuu wa serikali anapojitokeza rasmi kutetea rasimu hiyo ya katiba ambayo ni wazi ilikataliwa tangu siku ya kwanza.
*"constitutional review act" anataka wananchi tuikubali na haina shida ila tatizo ni uelewa wetu wananchi.
*khs vifungu visivyoguswa,anasema kizazi cha DOT COM kisaidiwe ili kielewe historia ya nchi.
Leo kumekucha na mpango mahsusi tunaona serikali imeamkia rasmi na mpango mahsusi wa kuutetea muswad uliokataliwa na wananchi wa katiba mpya.