Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

Watu mnapenda polojo kama nn tumieni busara na akili pia mambo mengine sio kabisa
 
Bhac mkuu nimekosa,maana watu ukweli hawataki kusikia.
Yupo huru kama JK au Karume au Salmin Amour,umefurahi sasa...!!??
Achana nae.. kitabu chake The Partnership ameeleza kinagaubaga sasa huyo si atakuchosha tu.
 
Achana nae.. kitabu chake The Partnership ameeleza kinagaubaga sasa huyo si atakuchosha tu.
Tunyamaze mkuu ,tunatakiwa tuimbe zile nyimbo za zidumu fikra za mwenyekiti la sivyo sheria ya makosa ya mtandao inakuhusu kwa kusababisha uchochezi.
Ila huwa najiuliza,hivi vitabu vinaandikwa kwa ajili ya kazi gani kama si kusomwa...!!???
 
Kumbe huyu mzee aliyaona haya cku nyingi kabla ya rasimu ya jaji aisee alikuwa kichwa hongera zake maana kwenda tofauti na Nyerere inaonyesha ilikuwa hatari kubwa
 
What is excatly the title of that book? and where can I possibly find?
Jamani tupieni soft copy ya hcho kitabu cha mzee Jumbe tukipitie wengine tumemsikia kidogo sana
 
Habari zinazoenea ni kweli jamani? Kuwa amefariki?
 
Onana sasa hadi amerafiki mzee wa watu RIP Abdul Jumbe
 
Jamani huyu mheshimiwa yuko wapi? Mbona kimya.

Hata hashirikishwi kwenye issue za CCM kulikoni?

KAWAWA sometimes huwa anashirikishwa why not JUMBE? Or is there any wrong doings alizofanya au he is SICK?
RIP Alhaj Aboud Jumbe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…