D deo paul555 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2018 Posts 1,405 Reaction score 521 Apr 10, 2020 #1 Habari wadau, Mwaka huu 2020 ni mwaka wa uchaguzi, niliwahi sikia kua kama ulifungwa miezi zaidi ya sita huna sifa ya kugombea jee iwe jinai au madai adhabu hiyo? Wadau nisaidieni jambo hili Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau, Mwaka huu 2020 ni mwaka wa uchaguzi, niliwahi sikia kua kama ulifungwa miezi zaidi ya sita huna sifa ya kugombea jee iwe jinai au madai adhabu hiyo? Wadau nisaidieni jambo hili Sent using Jamii Forums mobile app