J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,206
Naomba kufamishwa maana naweza kufanya maamuzi nikaonekana mi mbaya.
Mzee wangu anapanga nyumba yake rangi na kuweka gheti kwa ajili ya wapangaji wake,
Kapita bhana afya na kumtuma mwakilishi wake ujumbe kuwa waambie waache hiyo kazi mara moja.
Najiuliza kwa sababu gani aache kupaka rangi nyumba yake na kuweka gheti wakati hakuna alama yoyote kwa ajili ya eneo lake au x maana sehemu anayojenga yamepimwa,au ndo uonevu naombeni msaada kabla sijamfekyekelea polisi huyu mtu