Ni kosa kwa upande wa zanzibar mkuu kule kuna itwa 'herritage' sijui me sio msomi kwa hiyo ukarabati wowote lazima upate kibali toka serikaliniNaomba kufamishwa maana naweza kufanya maamuzi nikaonekana mi mbaya.
Mzee wangu anapanga nyumba yake rangi na kuweka gheti kwa ajili ya wapangaji wake,
Kapita bhana afya na kumtuma mwakilishi wake ujumbe kuwa waambie waache hiyo kazi mara moja.
Najiuliza kwa sababu gani aache kupaka rangi nyumba yake na kuweka gheti wakati hakuna alama yoyote kwa ajili ya eneo lake au x maana sehemu anayojenga yamepimwa,au ndo uonevu naombeni msaada kabla sijamfekyekelea polisi huyu mtu
kwa huko wanaendelea kuishi kwenye magofu tuu,inabidi atueleze yupo wapi tena viwanja vya kupimwa anazuiwa?Ni kosa kwa upande wa zanzibar mkuu kule kuna itwa 'herritage' sijui me sio msomi kwa hiyo ukarabati wowote lazima upate kibali toka serikalini
Rudi kwa waliokizuia wakutajie sababu ya zuio lao na wakupe maandishi kisheria sio kwa mdomo tu. Kujua haki yako ni hatua ya kwanza kuipata haki yakoNaomba kufamishwa maana naweza kufanya maamuzi nikaonekana mi mbaya.
Mzee wangu anapanga nyumba yake rangi na kuweka gheti kwa ajili ya wapangaji wake,
Kapita bhana afya na kumtuma mwakilishi wake ujumbe kuwa waambie waache hiyo kazi mara moja.
Najiuliza kwa sababu gani aache kupaka rangi nyumba yake na kuweka gheti wakati hakuna alama yoyote kwa ajili ya eneo lake au x maana sehemu anayojenga yamepimwa,au ndo uonevu naombeni msaada kabla sijamfekyekelea polisi huyu mtu
Nakushauri usichukue sheria mkononi, nenda ofisini kwa huyo Bwana Afya ili ujue sababu, baada ya hapo unaweza kupima kuona kama ina maana halafu uanze kuchukua hatua stahili za kisheria sio za maguvu.Naomba kufamishwa maana naweza kufanya maamuzi nikaonekana mi mbaya.