Je wewe ukimfumania demu wako anagawa utafanyaje?Kwa uzoefu wangu ukifumaniwa na mke wa mtu/mme kama mwenye mme/mke ana mapenzi ya dhati ujue umekufa, ila ukinusurika ukafikishwa mahakamani jua issue imepoa maana ni kesi ya madai (Civil case) na adhabu yake ni faini tu wala Polisi haiwahusu.Lakini kuwa makini unaonekana kuna mke wa mtu unamnyemelea.