Yaani ndio kabisa unamkosesha Raila kura kwa kauli za kihivi, hiki ni kicheko cha mwaka eti mgombea urais atafute kura kwa ahadi kwamba atatuombea makazi kwa nchi maskini chini yetu......hehehehe!!!
Siku Raila atatamka kitu kama hicho atatukanwa mpaka ausahau urais.
Rais bora ni yule anaboresha maisha ya ndani ya watu wake, na kama lazima watu wake watoke, basi waende kwenye nchi zenye hela ili watume nyumbani kwa ajili ya uwekezaji.
Ndio maana nchi yenu mnaliwa sana, akili zenu hazijawahi badilika tangu Nyerere awajaribishe kwenye hicho kitu aliita ujamaa, mnapenda mambo ya kujidanganya na undugu, eti leo Magufuli akiwa swahiba na kiongozi wa nchi nyingine basi raia wa kule wapo radhi kuja na kuchuma na kunyakua kila wakitakacho. Mchina amewatafuna sana kwa kutumia huo undugu wa kijinga.
Yaani Raila atufanye tuje kuwa omba omba Tanzania kama walvyo ndugu zenu huku....
Duhh huyu mungiki fala kweli kweli
Yaani kwa vimichoro vya graph ati anajidanganya Kenya ni tajiri hahaha
Ati unasema wa TZ wajinga nakushangaa
Vipi khs nyie nchi yenu kumilikiwa na kqbila mbali na kuwanyima HAKI wakenya wenzenu jee sio ujinga na ufala huo?
Huoni mnajitengezea matatizo ambayo matokeo yk mnatafuta hifadhi kukimbilia Tanzania
Hivi unafahamunkuwa Kenya kuna unasikini ambao huwezi kuta umasikini mkali kama huo kwa TZ,
Kubali usikubali TZ ndio kila kitu ktk east Africa nakumbuka museven aliwahi kusema without TZ there is no east Africa,
Unakumbuka jakaya alipunguza route za KQ kuja TZ mbona mulimfuata Namibia kumbembeleza km kweli nyie ni matajiri?
Kwataarifa yenu mungiki kubalini TZ ni nchi tajiri kwanini nasema hvy nayajua ambayo nyingi hamjui lkn MTA amini muda mchache ujao
Nakumbuka rais aliyrpita aliwahi kuwaeleza viongozi wa Kenya wkt ule khs kusign miswaada ya EAC Tanzania ilipokataa kushinikizwa SERIKALI ya mungiki na wapambe wake wakatishia kuwa cc tunasonga mbele
Muheshimiwa kikwete aliwajibu km mnasonga mbele nendeni sababu cc Tanzania tunahitajika zaid na nchi za EAC kuliko cc tunavyowahitaji,
utajiri haupimwi kwa kuangalia michoro na mqkaratasi tuu
Kuna mambo mengi ya MSINGI
Political stability
Geographically position of the country
Natural resources
Population
Fertile land
Education
Etc etc
Kiongozi mahiri haihitaji msaada toka kwa dikteta ili kuongoza nchi. Usiwatishe wakenya. Kenyatta ana mbinu naaarifa mengi sana ya kuleta neema Kenya.