Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sehemu ya kupiga soga kwakuwa hakuna atakayesimulia madhaifu yake.. Hiyo ni starter tu ya kufahamianaImekuwa kawaida kwa couple mpya kusimuliana mahusiano yao ya zamani ikawa kama ni njia ya kujitetea na kujiweka sehemu salama zaidi kwa kuwaonesha waliokuwa nao ndio wabaya . je hili litasaidia chochote kwa couple hiyo mpya?