Ni kozi gani nisome ili niweze kujifunza matumizi ya Ultrasound?

Kelela

Senior Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
191
Reaction score
308
Habari,

Naomba kujua ni kozi gani ya Certificate au Diploma ambayo nikisoma ndani yake kuna mafunzo ya Ultrasound? Na pia ni vyuo gani wanatoa kozi hiyo?

Natanguliza Shukurani.
 
Wanatoa chuo cha Muhimbili na Bugando ngazi ya stashahada kwa miaka 3 vigezo tembelea tovuti ya vyuo husika na NACTE.
 
Habari , Naomba kujua ni kozi gani ya Certificate au Diploma ambayo nikisoma ndani yake kuna mafunzo ya Ultrasound?, Na pia Ni Vyuo gani wanatoa kozi hiyo? Natanguliza Shukurani.
Kwa ngazi ya stashahada vyuo Ni viwili tu MUHAS&CUHAS-Bugando
 
Ahsante wote kwa majibu yenu mazuri, peace!
 
Habari , Naomba kujua ni kozi gani ya Certificate au Diploma ambayo nikisoma ndani yake kuna mafunzo ya Ultrasound?, Na pia Ni Vyuo gani wanatoa kozi hiyo? Natanguliza Shukurani.
Ni Jambo zuri sana hili. Nikutakie kila la heri.... Soma ukiwa na maono ya kuja kuwa na the best diagnostic center ya kwako hapo baadae. All that very Best.
 
Ahsante sana!
 
Back
Top Bottom