Kozi zote ni rasilimali.... Na zote zinategemeana,
Ukosefu wa ajira usifanye watu wasisome, nop
Nimekutana na watu baadhi wamesoma na hawajawahi ajiriwa zaidi wana biashara na makampuni yao.....
Kikubwa tujue tunasoma nini, kina manufaa gani , Jenga connection, jitume, amini na mwombe Mungu kwa imani yako.....
Itakuwa khery