Ni kozi ipi ya afya niombe zaidi?

gunnar andersen

New Member
Joined
Jul 31, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili.
Kwa matokeo haya;

PHYSICS -D
CHEMISTRY -C
BIOLOGY -B
MATHS -D
ENGLISH -C

(i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi?

(ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni.
 
Diploma in Health information science.... Bugando na CEDHA arusha
 
Vyuo vipo vingi, vya Serikali na Binafsi...Tafuta uombe.

Kozi omba Radiology (ipo Bugando, cheki pia kama Muhas wanayo!), Optometry (ipo KCMC), Clinical officer, Lab, Nursing, Pharmacy,
 
Vyuo vipo vingi, vya Serikali na Binafsi...Tafuta uombe.

Kozi omba Radiology (ipo Bugando, cheki pia kama Muhas wanayo!), Optometry (ipo KCMC), Clinical officer, Lab, Nursing, Pharmacy,
Optometry iko miaka mingapi kwa Diploma..?
 
Omba course ya ufamasia uje uuze pharmacy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…