Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Asome anachopenda, akiangalia hali ya Soko ataishia sokoniYupo vizuri upstairs ana akili nyingi sana.
Ndio hiyo wanaita Cybersecurity au?Computer security in general utanishukuru baadae
Anapenda mambo ya computer ila hayuko sure course ipi akiisoma hatosota kitaa.Asome anachopenda, akiangalia hali ya Soko ataishia sokoni
Computer science : Major Information systems and networking.Wadau naomba kujuzwa kuhusu hiyo mada hapo juu.
Mimi sio mtaalam wa computer. Nipo field tofauti.
Dogo yupo advance anataka kujikita katika ishu za computer huko mbeleni at the university level.
Yupo vizuri upstairs ana akili nyingi sana.
Leo ameniuliza hilo swali nimebaki sina jibu la haraka haraka.
Yes mkuu akiingia humo mpaka mwisho wa uhai wake atakuwa anahitajika ni balaa unaweza usipate ajira ila ukawa unatafutwa kupiga vimeo vya kufunga vifaa vya cyber, au kupiga code ni pesa ndefu unakunjaNdio hiyo wanaita Cybersecurity au?
Imepita hiyo. Vipi pia kuhusu Data science nayo ina market?Cybersecurity hii hatojutia
Wasi wasi wangu naona graduates wa computer science ni wengi mnoComputer science : Major Information systems and networking.
Nashukuru sana nduguYes mkuu akiingia humo mpaka mwisho wa uhai wake atakuwa anahitajika ni balaa unaweza usipate ajira ila ukawa unatafutwa kupiga vimeo vya kufunga vifaa vya cyber, au kupiga code ni pesa ndefu unakunja
Mkuu dunia inaongezeka dynamicWasi wasi wangu naona graduates wa computer science ni wengi mno
ukiwa na degree ya cs unaweza kuomba kazi yeyote ya IT; cybersecurity, network engineer, technician..... huwaga wanaweka uwe na angalau degree ya CS, ingawa CS wanafundishwa sana kuhusu software development,Wasi wasi wangu naona graduates wa computer science ni wengi mno
Mtaalam, hongera sana kwa madini.ukiwa na degree ya cs unaweza kuomba kazi yeyote ya IT; cybersecurity, network engineer, technician..... huwaga wanaweka uwe na angalau degree ya CS, ingawa CS wanafundishwa sana kuhusu software development,
ila akiamua anakua anajipigia hicho anachotaka kusoma online mwenyewe,
mimi sio mtaalam ndo kwanza niko diploma ya CS,Mtaalam, hongera sana kwa madini.
Kama hautojali ningeomba ushushe madini on how to learn cybersecurity online.
Ni kitu imenivutia lakini kusema kweli siwezi kurudi darasani at this time.
Hii naona imekaa poa. Shukrani kwa good analysis!ukiwa na degree ya cs unaweza kuomba kazi yeyote ya IT; cybersecurity, network engineer, technician..... huwaga wanaweka uwe na angalau degree ya CS, ingawa CS wanafundishwa sana kuhusu software development,
ila akiamua anakua anajipigia hicho anachotaka kusoma online mwenyewe,
Ipi kati ya hizo ni nzuri hasa kwa binti?Nimesoma Computer Engineering UDOM, bado sijapata ajira lakini namshauri asome hiyo (Computer Engineering) inafiti sehemu nyingi kwenye ajira, pia Computer Science ni nzuri. Hizi kozi mbili unaweza kujiajiri vizuri tu kama utapenda unachokifanya, pia hizi kozi mbili zinakupa mwanga wakujua mambo mengi kwenye maswala ya kompyuta/TEHAMA.
Computer Science itamfaaIpi kati ya hizo ni nzuri hasa kwa binti?
Mbaya zaidi hawawezi kitu cha maana.Wasi wasi wangu naona graduates wa computer science ni wengi mno