Ni Kuchekesha tu au kuna ujumbe mwingine

Ni Kuchekesha tu au kuna ujumbe mwingine

Kibunago

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2008
Posts
300
Reaction score
122
Je inabidi tucheke tu au kuna ujumbe wa kuzingatia, kutafakari au wa kujadili

Angalia hapa wavuti - Video.
(Orijino komedi na mtu mzito)





Shukrani ziwafikie wavuti - Home
 
Last edited by a moderator:
kati ya vitu walivyonifurahisha tangu wameanza hii kitu ni leo...wamemwigiza MAGUFULI kama alivyo, ni vizuri sana wamefanya....
 
Hata mimi nimewakubali. Kwa kweli hii kazi ilisanifiwa vyema.
 
Duh hapo nimekubali nadhani ni Seki huyu ndiye huwa anaigiza sauti za viongozi-lakini magufuli amesomea barabara? hapo ndo pa kuhoji
 
mwangalie walivyomuweka malecela....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom