Ni kuhusu hii combination ya CBG..

Status
Not open for further replies.
Umeandka BCOM ndo cjaelewa
 
Ndugu yangu physics kama ilikusumbua utajuta ukihamia pcb,mi naongea kwa experience achana na swala la kuhama kombi,hiyo cbg ina uwanja mpana wa kozi za chuo na ni rahisi zaidi kufaulu kuliko pcb,usidanganyike na misifa ya kosoma pcb mwisho wa siku uambulie div4,pysics ya a level si mchezo lazima uwe kichwa cha hesabu pia,kwa kupata d ya pysics o level sidhani kama utauweza huo mziki,chukua hatua
 
na mie pia nilikua ninauliza kuhusu hii combi ya CBN huko mbeleni kuna nafasi nzuri ya ajira

cbn nayo ni nzuri na kozi nyingi zinaingiliana na waliosoma cbg,hasa za sua,we kapige shule ufaulu na upate uelewa kuna future nzuri hasa mambo ya food processing technology
 

poa mkubwa naichukua hatua from now on.
 

that's True,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…