Ni kuhusu masterbation, inanisumbua akili yangu.

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
Habari!

nimekuwa mpigaji wa muda mrefu wa hii kitu na nimejitahidi kuacha na kufanikiwa kwa muda kisha Narudia tena

Ninasumbuliwa sasa na magoti, japo nimesoma post nyingi humu Ndani na sehemu zingine Sijaona wakitaja matatizo ya magoti, swali langu sasa ni je hii Shida ya magoti imeletwa na masterbation au kuna tatizo lingine tofauti na Kama ni masterbation Ndio chanzo nawezaje pata dawa ya magoti yangu, ukijumuisha pamoja na kuacha hiki kitendo namaanisha kuna kituo cha afya ambacho kitaweza nisaidia hili tatizo la magoti?
 

mwombe Mungu akusaidie uweze kuacha hiyo kitu,sio nzuri kabisaaaa,na bila msaada wa Mungu kuacha itakua ngumu,pole sana
 
We endelea kupiga puli then Ntaku pm namba yangu mke akikushinda niite nikusaidia kutoa huduma ya kijamii!!
 
Mungu aturehemu katika yote.Nuia kuacha huo mchezo,na usikae kwenye upweke mda mrefu jifunze kujichanganya na vijana wenzako wa kike na wekiume, fanya mazoezi, muombe Mungu akusaidie hakika naye atakusaidia.Kikubwa kimbia upweke na kujiurumia.
 
Ukitaka kuacha hii kitu for good please involve yourself actively in sex (hetero..). Sex (Man..VS..Woman) is a gift from GOD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…