Ni kuku au bajaji?

Ni kuku au bajaji?

kopuko

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
180
Reaction score
58
Habari wana jf,
nina kuja kwenu tena katika jukwaa hili nikitaka ushauri wenu kwani najua humu kuna watu waliobobea na kupitia mambo mbalimbali.
Jamani kusema kweli natamani siku mja kuwa tajiri,but najua utajiri hauji hivi hivi bila jitiada flani,,nina kama 2 ml,ninaomba msaada wenu nifanye nini nazo ili mradi nisikose hata laki 4 mpaka 5 initialy kutoka katika hizo ml mbili kama faida?
Nimesoma ufugaji wa kuku humu ndani,bt nadhani naweza kupata mawazo chanya mengine ambayo pia yatasaidia na wengine pia,,mimi binafsi nilikuwa nafikiria bajaji used ambayo waweza pata kwa ml 2 mpka 2.5,,,bt nataka mawazo mengi zaidi ili niwe na uwanja mkubwa wa kuchagua cha kufanya.
Asanteni sana na ninakaribisha maoni na michango yenu.
 
Kaka labda kama una zingine mahali, lakini kama ni hizo tu kisha ununue bajaj used utashangaa nakwambia, utabaki na kumbukumbu tu kwenye maisha yako uliwahi kushika mil 2.

Katika hivyo viwili bora ufuge kuku kaka
 
zingine zipo kaka,dhumuni ni kipato cha ziada
 
Back
Top Bottom