Lakini wajameni hatujaambiwa kuwa huyo dada alikuwa na sababu zipi za MSINGI za kumkataa,
huenda ndo maana jamaa anaona kuwa bado ana nafasi tu,
Pili,, huyo dada ameshapata boyfriend au bado yuko single? kwa sababu angekuwa na boyfriend wa ukweli2 sioni ni kwa vipi huyo jamaa angeweza kumfatilia hivyo.
Jingine, kama marafiki wa huyo dada ni marafiki wake pia kwa nini asiwaombe marafikiz ake mwamweleweshe kuliko kukaa katika hali hiyo?
wapi cheusimangala....