Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 278
- 516
Maghorofa ya Kariakoo yanakusaidia nn !?Alilipa mabilioni ili mafuta ya petrol yasopanfe kuepusha mfumuko wa bei.
Wazalendo wakagoma hela za halmashauri zisitoke, hazirejeshwi akawa mbogo na hela zokarudi kwa wananchi.
Watoto wenu wa kike wakalombwa huko wakapewa ujauzito wakaktaliwa kurudi shile ye akawarudisha.
Maghorofa kariakoo na tz nzima yanaota ka uyoga baada ya kusimama kwa muda mrefu
wanafunzi diploma eti nao wanakula mkopo dah, huyu mama ana pepo yake wallah.
Changamoto yake ni utekaji tu mbona we hujatekwa hivo ukitekwa jiulize umekosea wapi, japo na amini jilo jambo litakoma siku moja ila nasi tuwe na adabu mama kakubali kukosolewa ila kwa staha si kisela hivo,
Nitarudi.....
nitarudiUnajielewa kweli wewe dudukwe ?
wanakijiji wa kwenu huko wakija mjini huwa wanashanga nini, mbona watu na heshima zao wanaenda kupiga picha kwenye vioo vya ubungo tena kwa foleni,Maghorofa ya Kariakoo yanakusaidia nn !?
nenda burundiHatuwataki nyinyi wadhalimu
Nani wanateka na kupoteza watu??Changamoto yake ni utekaji tu mbona we hujatekwa hivo ukitekwa jiulize umekosea wapi, japo na amini jilo jambo litakoma siku moja ila nasi tuwe na adabu mama kakubali kukosolewa ila kwa staha si kisela hivo,
Nitarudi.....
nikikuona humu baada ya maandamano taamini we ni mnafiki, waandamanaji wa kweli watakua jela na kaburin we ukipona ni mnafiki tuTuondolee upumbavu wako mkuu!
kauwa nani? una ushahidi? nenda mahakamani kafungue kesiMtu anayewauwa watu ana mazuri gani?
Wewe ni pimbi haujui hata sheria za Tanzania. Rais anafunguliwa kesi?kauwa nani? una ushahidi? nenda mahakamani kafungue kesi
Ww ni mjinga sana,wanakijiji wa kwenu huko wakija mjini huwa wanashanga nini, mbona watu na heshima zao wanaenda kupiga picha kwenye vioo vya ubungo tena kwa foleni,
pimbi ni wewe rais kaua au watumishi wake ndo wameua utakuja ufungwe jela kiboya sana hujui kiwasilisha lalamiko je akikutaka utoe ushahidi wa kuua, unao?Wewe ni pimbi haujui hata sheria za Tanzania. Rais anafunguliwa kesi?
Ameua na majina yapo.
una akili sana kijana utafika mbali hawa wenzako wanalazimisha wote tumchukie rais kosa wamenyimwa teuzi, ukuu wa wilaya nkMsifie ww sema mazuri yake ww na sisi utuache tuseme mabaya hana zuri hata moja hakuna we kama unayo sema kila mtu ashnde mechi zake.
SAMIA ANAUA WATANGANYIKA. π’pimbi ni wewe rais kaua au watumishi wake ndo wameua utakuja ufungwe jela kiboya sana hujui kiwasilisha lalamiko je akikutaka utoe ushahidi wa kuua, unao?
na wale wazanzibar walio fatwa makwao wakapatikana waakiwaa wamekufa, hukusikiaaSAMIA ANAUA WATANGANYIKA. π’