Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 278
- 516
- Thread starter
-
- #41
dada yako ana trako lakin, naona unampigia debe sana, ok tamtafuta niki pata muda mkuu, mwsmbie ajue kukatika lakini sichukuwag gogoMkuu nadhani upo kusaidiana na dada ako kuosha vyombo apo kwa shemeji yako, ndiyo maana unaropokwa uharo.
Qmmk!nenda burundi
we ni kalevi ka pombe za kienyeji unalewa hadi unajinyeaNasikitika kwamba kumbe tunajadili na mgonjwa wa akili fungeni kamba peleka milembe
basi nenda ile ya arusha, na yenyewe inamilikiwa na nanMahakama yenyewe inamilikiwa na nani kwanza
Mboga mboga wewewe ni kalevi ka pombe za kienyeji unalewa hadi unajinyea
Alilipa mabilioni ili mafuta ya petrol yasoipande kuepusha mfumuko wa bei.
Wazalendo wakagoma hela za halmashauri zisitoke, hazirejeshwi akawa mbogo na hela zikarudi kwa wananchi.
Watoto wenu wa kike walipewa pewa ujauzito wakakataliwa kurudi shule ye akawarudisha.
Maghorofa kariakoo na Tanzania nzima yanaota ka uyoga baada ya kusimama kwa muda mrefu
Wanafunzi diploma eti nao wanakula mkopo dah, huyu mama ana pepo yake wallah.
Changamoto yake ni utekaji tu mbona we hujatekwa hivo ukitekwa jiulize umekosea wapi, japo na amini jilo jambo litakoma siku moja ila nasi tuwe na adabu mama kakubali kukosolewa ila kwa staha si kisela hivo,
Nitarudi.....