Dhana ya utumishi wa Uma inaanzia pale mtu anapewa dhamana kusimamia Jambo kwa masilahi mapana ya jamii au wananchi kwa ujumla wake.
Dhamana hii huundiwa taratibu na kanuni kwa misingi ya kurahisisha na kusimamia utendaji wa mtumishi kwa ukaribu zaidi. Mheshimiwa mbunge ni mwajiriwa wa wananchi wa Jimbo husika kwa kumpa dhamana wakiamini kuwa atayabeba matatizo au changamoto za wananchi wake na kuzipatia ufumbuzi kwa jinsi walivyo niamini.
Aidha baada ya kupewa dhamana hiyo, waheshiwa sana huwapuuza waajiri wao nakujikuta wapo busy na mambo yao binafsi kuliko Yale waliyowaahidi waajiri wake.
Kupitia Uzi huu napenda kufahamu Kama Kuna njia ya kupima ama kufuatilia utendaji wa Mheshimiwa Mbunge katika Jimbo lake na pengine analazimika kuwajibika kwakutokutekeleza ahadi zake kwa wananchi?