Platinum Consultancy
Member
- Jul 3, 2016
- 19
- 13
Habari zenu wapendwa,
Ni matumaini yetu kuwa nyote mu wazima, leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya dhana ya ubora wa bidhaa/huduma na jinsi gani kuhakikisha huo ubora
Biashara nyingi zinafilisika na kusitisha huduma kutokana na kushindwa kumhakikishia mteja (customer) ubora anaoutarajia.
Katika mpango wa biashara (business plan), benki na wadhamini huweka mazingatio makubwa katika kipengele hiki, hii ni kwa sababu uhai wa biashara yoyote kwa kiasi kikubwa unategemea ubora wa huduma au bidhaa.
Ubora katika bidhaa au huduma imekuwa ni miongoni mwa mbinu na mikakati katika kukabiliana na ushindani wa kibiashara.
Mteja mara nyingi huangalia ubora wa bidhaa au huduma katika mitazamo ya aina mbili, ambayo ni:
-Uzuri wa bidhaa katika hali ya hisia (aesthetics)
-Kiasi gani bidhaa inaruhusu ku-repair na servicing kiujumla.
-Usalama kwa mtumiaji (safety and security)
-Urefu wa muda wa matumizi (durability)
2. Hali isiyo ya ushikiki (intangibilty), hapa mteja huzingatia vitu vifuatavyo:
-Ufanisi wa watoa huduma (competence)
-Upole, unyenyekevu na muonekano wa watoa huduma (courtsey and neat appearance)
-Kuaminika kwa watoa huduma (trustworthiness)
-Namna ya kuwasiliana na wateja (communicaations)
-Usalama wa eneo la kutolea huduma (security)
Kuna njia nyingi tu ambazo mfanyabiashara huweza kuzitumia ili kuhakikisha bidhaa au huduma zake zinakidhi viwango vya ubora (Kutokana na mtazamo wa mteja). Miongoni mwa njia hizo ni:
Ni matumaini yetu tulichokusudia kukifikisha kimeeleweka.
Kwa huduma zifuatazo:
-Utoaji wa ushauri wa kitaalamu katika Business Development &Management, Project Planning
and Management , Operations Management and Tax Management.
-Utoaji wa semina katika maeneo tutoleayo ushauri wa kitaalamu.
-Uandaaji wa mipango ya biashara (Business plans)
-Uandaaji wa michanganuo ya miradi (Project proposals)
Usisite kututafuta kwa namba 0719 518367, 0657 935110, 0783 695639
E-mail: platinumconsultancy74@gmail.com
Ahsanteni na karibuni sana.

- Hali ya ushikiki (tangibility), hapa mteja huzingatia vitu vifuatavyo :
-Uzuri wa bidhaa katika hali ya hisia (aesthetics)
-Kiasi gani bidhaa inaruhusu ku-repair na servicing kiujumla.
-Usalama kwa mtumiaji (safety and security)
-Urefu wa muda wa matumizi (durability)
2. Hali isiyo ya ushikiki (intangibilty), hapa mteja huzingatia vitu vifuatavyo:
-Ufanisi wa watoa huduma (competence)
-Upole, unyenyekevu na muonekano wa watoa huduma (courtsey and neat appearance)
-Kuaminika kwa watoa huduma (trustworthiness)
-Namna ya kuwasiliana na wateja (communicaations)
-Usalama wa eneo la kutolea huduma (security)
Kuna njia nyingi tu ambazo mfanyabiashara huweza kuzitumia ili kuhakikisha bidhaa au huduma zake zinakidhi viwango vya ubora (Kutokana na mtazamo wa mteja). Miongoni mwa njia hizo ni:
- Kuhakikisha anafanya vifungashio (packaging) kwa bidhaa zake.
- Mfanyabiashara kuchagua eneo moja au zaidi ya moja(focusing) katika mitazamo tuliyoiona hapo juu, mfano kuhakikisha upole na unyeyekevu wakati wa kutoa huduma n.k. Mfano The Ritz-Carlton Hotel ni miongoni mwa hoteli ambazo zimejijengea jina kubwa kutokana na kujikita katika kuhakikisha ufanisi wa watoa huduma wake, upole na unyenyekevu wa watoa huduma n.k
- Kuhakikisha matumizi ya teknolojia mfano teknoloja ya mawasiliano n.k. Hii itamsaidia mfanyabiashara kuepuka makosa ya kibinadamu ambayo hupelekea kuathiri ubora wa bidhaa hata huduma pia. Mfano matumizi ya programu maalum za komputa katika uthibiti na usimamizi wa masuala ya fedha, rasilimali watu n.k
- Matumizi ya malighafi (raw materials) yenye ubora wa hali ya juu katika utengenezaji wa bidhaa au utoaji wa huduma.