Ni kwa namna gani wamiliki wa Hoteli na Airbnbs, wanaweza kusaidia kupunguza mauaji ya Wanawake?

Ni kwa namna gani wamiliki wa Hoteli na Airbnbs, wanaweza kusaidia kupunguza mauaji ya Wanawake?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Wakuu,

Miongoni mwa maeneo yanayotajwa kuongoza kwa kutokea matukio ya Mauaji ya Wanawake Afrika ni kwenye gesti, hoteli na katika miaka ya hivi karibuni Air Bnbs.

Sasa, swali ni je? Wamiliki wa maeneo hayo wanaweza kuchukua hatua gani za kiusalama ili kupunguza matukio haya?

Karibuni kwa mjadala
 
Kwanza tupe statistics zinazo onyesha kwamba homocide nyingi hufanyika guest house kuliko majumbani..... otherwise utabaki kua uongo tu.
 
Back
Top Bottom