Wakuu,
Miongoni mwa maeneo yanayotajwa kuongoza kwa kutokea matukio ya Mauaji ya Wanawake Afrika ni kwenye gesti, hoteli na katika miaka ya hivi karibuni Air Bnbs.
Sasa, swali ni je? Wamiliki wa maeneo hayo wanaweza kuchukua hatua gani za kiusalama ili kupunguza matukio haya?
Karibuni kwa mjadala