Wapwa
Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee ambaye ameshawahi kuwa Raisi wa Zanzibar ( 1984 - 1985 ) kabla hajawa Rais wa Tanzania ( 1985 - 1995 ).
Je kuna makusudi yoyote ya kutokumtambulisha kama raisi mstaafu wa Zanzibar ? na kama haipo kwa nini huwa hatambulishwi kwa vyeo vyake vyote vikubwa.
Haki huinua Taifa.
Cheo cha rais wa Tanzania ni cha juu kabisa
Wanamtambulisha kwa nafasi yake ya juu zaidi.
Inamaana cheo ya mwenyekiti wa CCM na raisi wa Zanzibar, cha mwenyekiti ni kikubwa zaidi .?
Hoja hii inainua uchumi wako binafsi kwa kiwango gani?,tuanzie hapo kwanzaWapwa
Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee ambaye ameshawahi kuwa Raisi wa Zanzibar ( 1984 - 1985 ) kabla hajawa Rais wa Tanzania ( 1985 - 1995 ).
Je kuna makusudi yoyote ya kutokumtambulisha kama raisi mstaafu wa Zanzibar ? na kama haipo kwa nini huwa hatambulishwi kwa vyeo vyake vyote vikubwa.
Haki huinua Taifa.
Nani kakwambia hii ni hoja .? nimeuliza ile nipate majibu.Hoja hii inainua uchumi wako binafsi kwa kiwango gani?,tuanzie hapo kwanza
Upuuzi huu peleka jikoni ukiwa na mama yako mkikata vitunguu ndio umuulizeNani kakwambia hii ni hoja .? nimeuliza ile nipate majibu.
Sio kila linaloandikwa JF ni hoja kenge wewe