Ni kwa nini Huwezi kusimamisha au kurudisha wakati

Ni kwa nini Huwezi kusimamisha au kurudisha wakati

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Habari wana JF

Nipo hapa nawaza huku nakata Balimi zanngu weekend

Nataka tujadili hivi ni ktu gani kinazui watu kurudi nyuma kwenye muda?
 
ingewezekana hili kiukweli makosa yangekuwa mengi sana fikiria nina miaka 25 nakuua nakaa jela miaka 30 natoka naurudisha umri wangu wa miaka 25 nasonga mbele
 
inawezekana kurudi nyuma kwenye wakati mkuu,tatizo sisi huwa hatusomi vitabu kwa hiyo vitu vingi hatujui!
 
Back
Top Bottom