ubongokid JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 2,154 Reaction score 4,184 Dec 2, 2018 #1 Habari wana JF Nipo hapa nawaza huku nakata Balimi zanngu weekend Nataka tujadili hivi ni ktu gani kinazui watu kurudi nyuma kwenye muda?
Habari wana JF Nipo hapa nawaza huku nakata Balimi zanngu weekend Nataka tujadili hivi ni ktu gani kinazui watu kurudi nyuma kwenye muda?
BUNDI ALBINO JF-Expert Member Joined Dec 6, 2017 Posts 415 Reaction score 612 Dec 2, 2018 #2 Konki faya konki liquid konki thread. Hahaaa. Kweli pombe sio chai
LAPUA MAGNUM 338 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 431 Reaction score 1,223 Dec 2, 2018 #3 Ni kwa sababu haiwezekani kusimamisha muda.
M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,512 Reaction score 6,882 Dec 2, 2018 #5 ingewezekana hili kiukweli makosa yangekuwa mengi sana fikiria nina miaka 25 nakuua nakaa jela miaka 30 natoka naurudisha umri wangu wa miaka 25 nasonga mbele
ingewezekana hili kiukweli makosa yangekuwa mengi sana fikiria nina miaka 25 nakuua nakaa jela miaka 30 natoka naurudisha umri wangu wa miaka 25 nasonga mbele
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,571 Reaction score 9,789 Dec 2, 2018 #6 Wakati ni nini wakuu?.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Dec 2, 2018 #7 inawezekana kurudi nyuma kwenye wakati mkuu,tatizo sisi huwa hatusomi vitabu kwa hiyo vitu vingi hatujui!
inawezekana kurudi nyuma kwenye wakati mkuu,tatizo sisi huwa hatusomi vitabu kwa hiyo vitu vingi hatujui!
ubongokid JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 2,154 Reaction score 4,184 Dec 2, 2018 Thread starter #8 Behaviourist said: inawezekana kurudi nyuma kwenye wakati mkuu,tatizo sisi huwa hatusomi vitabu kwa hiyo vitu vingi hatujui! Click to expand... tupe madini mkuu
Behaviourist said: inawezekana kurudi nyuma kwenye wakati mkuu,tatizo sisi huwa hatusomi vitabu kwa hiyo vitu vingi hatujui! Click to expand... tupe madini mkuu
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Dec 2, 2018 #9 ubongokid said: tupe madini mkuu Click to expand... Mkuu kasome relativity theory ya Albert Einstein inaelezea kila kitu kuhusu travel in time!
ubongokid said: tupe madini mkuu Click to expand... Mkuu kasome relativity theory ya Albert Einstein inaelezea kila kitu kuhusu travel in time!